Moyo Wangu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Moyo Wangu - Guardian Angel
...
kwako unipaye uzima
nakupa moyo wangu mzima
umeniwezesha kushinda
niliogopa yangenishinda
Majanga tumeshinda
Magonjwa tumeshinda
Mitego ya maadui yote tumeshinda
Mawimbi na dhoruba
Eeh Bwana tumeshinda
Na tuliogopa yange tushinda
Milima na mabond
Ee Bwana tumepita
Yalo tutetemesha
Bwana umetuliza
Yalo tuogopesha
Umeondoa mashaka
Na tuliogopa yange tushinda
chorus