Mtoto ft. Solomon Mkubwa
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Mtoto ft. Solomon Mkubwa - Guardian Angel
...
Beats,,,,
uuuuu,,,, oooooohhhh Umenishikilia
Nimefunzwa na Wewe nikiwa Sunday School,
(Asante sana)
Umenishikilia kwenye mkono wako wenye nguvu,
(Nashukuru bwana)
Ukawasaidia Wazazi wangu kunipa uheri,
Nimekuwa mtu mzima sasa nimekutambua
Nimekuwa mtu mzima sasa nimekuelewa,
see lyrics >>Similar Songs
More from Guardian Angel
Listen to Guardian Angel Mtoto ft. Solomon Mkubwa MP3 song. Mtoto ft. Solomon Mkubwa song from album VICTORY is released in 2021. The duration of song is 00:03:56. The song is sung by Guardian Angel.
Related Tags: Mtoto ft. Solomon Mkubwa, Mtoto ft. Solomon Mkubwa song, Mtoto ft. Solomon Mkubwa MP3 song, Mtoto ft. Solomon Mkubwa MP3, download Mtoto ft. Solomon Mkubwa song, Mtoto ft. Solomon Mkubwa song, VICTORY Mtoto ft. Solomon Mkubwa song, Mtoto ft. Solomon Mkubwa song by Guardian Angel, Mtoto ft. Solomon Mkubwa song download, download Mtoto ft. Solomon Mkubwa MP3 song
Comments (38)
New Comments(38)
Jack@boomplay
danifordwayesu
from arusha Tanzania! kweli adhabu ni mafunzo
Kevin Megan
wimbo mzuri na yenye maneno ya kujenga.
Abraham Kakai
so cool
Amosdud8b
my favorite
Peterg3hzx
good song
Khabiri Elizabeth
love it[0x1f630][0x1f636]
Rufinafr9ih
love the song
DMUNALA
Beats uummh Still Alive Oooh uuuuu,,, Oooooohhhh Umenishikilia Bwana Bwana Bwana oohh(eeih eeiih) Nimefunzwa na Wewe nikiwa Sunday school (asante sana) Umenishikilia kwenye mkono Wako wenye nguvu, (Nashukuru Bwana) Ukawasaidia Wazazi wangu kunipa uheri, (yeee eeeh) Nimekuwa mtu mzima sasa nimekutambua (nimekutambua ah) Nimekuwa mtu mzima sasa nimekuelewa (nimekuelewa) Asante Wazazi wangu kunipeleka Sunday school (asante sana) Nimeelewa neno la Mungu jinzi linavyo ongea Nimeliishi neno la Mungu kwa maisha Yangu, asaaaanteeee Hook: Mwonyeshe mtoto njia nzuri naye hataisahau (Mwonyeshe mtoto njia inayofaa naye hataisahau) Akiwa mtu mzima lazima atarudiii(oooh) (akiwa mtu mzima lazima amkumbuke Mungu) Chorus: Nimepata ushindi kwa Neno Lako(kwa neno Lako Bwana), nililofunzwa tangu utotoni, (eeeeei nimepata mimi) Nimepata ushindi kwa Neno Lako, nililofunzwa tangu utotoni (aaaiiih ya yoo yoo) Uuuleavyo mtoto ndivyo akuavyo yoo yoo samaki mkunje angali mmbichi (eeh) ukiimpleleka mtoto kilabu subiri madhara yake(madhara yake ee) Ukimdekeza mtoto sana ngojea kuharibika kwake mzazi, kuharibika kwake eeh eeh Adhabu si chukiiii adhabu ni upendooo...inarekebisha tabia na matendo ya Mwanaaa aah Ona vile tunavyoishi leo ,ni mafunzo tuliopata kule, ona vile tunavyoishi leo,ni matokeo ya mafunzo tuliopata kulee. Hook: Mwonyeshe mtoto njia nzuri naye hataisahau (Mwonyeshe mtoto njia inayofaa naye hataisahau) Akiwa mtu mzima lazima atarudiii(oooh) (akiwa mtu mzima lazima amkumbuke Mungu) eeiih yee Chorus: Nimepata ushindi kwa Neno Lako(nimepata eeh eeh), nililofunzwa tangu utotoni, (uuh nimepata ushindi) Nimepata ushindi(ushindi) kwa Neno Lako, nililofunzwa tangu utotoni (nimepata aah eeh) Nimepata(nimepata aah aah) ushindi kwa Neno Lako, nililofunzwa tangu utotoni, (ooh nimepata mimi) Nimepata ushindi(ooh ooh ushindi) kwa Neno Lako, nililofunzwa tangu utotoni (nimepata aaah) Beats(fade)
Joan Khavaya
great great great great great great great great great great great always
i just played it in prayers for class 8.