Nadeka Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Nadeka - Guardian Angel
...
**letmusicpreach.com/nadeka-lyrics-by-guardian-angel-x-phil/
NADEKA LYRICS by Guardian Angel x Phil
CHORUS
Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana penda penda ndio maana mi na deka
Niko mikononi mwake
Kila kitu Kiko better
Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana penda penda ndio maana mi na deka
Niko mikononi mwake
Kila kitu Kiko better
VERSE 1
Ibilisi ananyeta
Kuna watu wakicheki unabarikiwa Sana wanateta
anazidi kuleta mvua ya baraka na ma better
Inazidi kunyesha
Ibilisi ananyeta
Kuna watu wakicheki unabarikiwa Sana wanateta
anazidi kuleta mvua ya baraka na ma better
Inazidi kunyesha
Aisifuye mvua imemnyea, namsifu juu amenitendea
Maajabu
Maajabu
Ata wewe ukimkujia najua atakutendea maajabu
Maajabu
Kuna wenye dhambi wengine takatifu jua likiwaka linawawakia wote wengine janja janja wengine waaminifu mvua ikinyesha inawanyeshea wote
Kuna wenye dhambi wengine takatifu jua likiwaka linawawakia wote wengine janja janja wengine waaminifu mvua ikinyesha inawanyeshea wote
CHORUS
VERSE 2
Mungu wangu anapenda penda penda na sa ndio maana mi na deka deka deka
Mungu wangu anapenda deka penda deka ananipenda na deka.
Mungu wangu anapenda penda penda na sa ndio maana mi na deka deka deka
Mungu wangu anapenda deka penda deka ananipenda na deka.
BRIDGE
Ukimuita anacome through maombi anajibu ndio maana namsifu
CHORUS