Swadakta Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Swadakta - Guardian Angel
...
ooooh*3swadakta n wewe najua unachunga maiasha swadakta n we we n wewe niko sawsawa*2
swadakta n we swafi wangu mtima unabubujika n we natamani tu kukamata selfie ni posti ili watu wajue nko sambamba n we swafi n we wangu mtima unabubujika natamani tu kukamata selfie ni posti ili watu wajue niko sambamba na wewe
maombi uliyasikia milango ukanifungulia izo mablessing nikazipokea niko sawasawa maombi uliyasikia milango ukanifungulia izo mablessing nikazipokea niko sawasawa
swadakta na wewe najua unachunga maisha yangu*2
niko swadakta kwako Mimi ndo nadata