![Bado](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/10/4cc0c309b9984d529002d5d3dee11a3c_464_464.jpg)
Bado Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
umenipa kubwa thamani
hata nikisema nishukuru bado haitoshi
wema wako haupimiki,
hata nikisema nikulipe Baba haitoshi
ata nikupe magari na nyumba ya kifahari
hata nikuupe uhai wangu Baba iyee
umenitoa utumwani ukanifuta mavumbi
umenipa kuamuru nitakupa nini cha kukupendeza
hata nikupe figo bado
magari mazuri bado
Mungu wangu wee bado
haitoshi bado
hata nikupe figo, bado
magari mazuri bado Mungu wangu wee bado
haitoshi bado
faida nayopata ndani yako Bwana
ni kweli wanitosha
afafhali siku moja na wewe Masiah badala ya maelfu mahali pengine
umenitoa utumwani ukanifuta mavumbi
umenipa kuamuru Mungu wangu nikupe nini
hata nikupe fito bado
magari mazuri bado
Mungu wangu wee bado
haitoshi bado
hata nikupe fito, bado
magari mazuri bado Mungu wangu wee bado
haitoshi bado
Baado
baadoo
baadoo
haitoshi bado
hata nikupe figo bado
magari mazuri bado
Mungu wangu wee bado
haitoshi bado
hata nikupe figo, bado
magari mazuri bado Mungu wangu wee bado
haitoshi bado
hata nikupe figo bado
magari mazuri bado
Mungu wangu wee bado
haitoshi bado
hata nikupe figo, bado
magari mazuri bado Mungu wangu wee bado
haitoshi bado
--- www.LRCgenerator.com ---