![Ananishika](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/10/4cc0c309b9984d529002d5d3dee11a3c_464_464.jpg)
Ananishika Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Ananishika - Guardian Angel
...
yieeeee
....
intro
...
asante kwa damu
Bwana kwako hakuna mashakaa
msalabani ulisema yamekwishaa
Bwana kwako kuna amani
ulidhatauliwa niheshimike
heshima yako ulipoteza
ili mimi niheshimiwe
nimeitwa mtakatifu kwa sababu ya damu
hiyoo hiyoo
na wee ni nyota ya alfajiri
wee kijito kisicho kaukaa
na kwa kiangazi nitanawiri
wee nguvu yangu iwapo mnyonge
ananishikaa yeye Yesu
ananitunza mikae salama
ananishika yeye Yesu
ananitunza nikae salama
Mawimbi hayaniwezi amenizingira
kwa mkono wake wa kiume amenishika
hatanuru halinichomi amenifunika
nikidhani niko pekee
Yesu anatokeana wee ni nyota ya alfajiri
wee kijito kisicho kaukaa
na kwa kiangazi nitanawiri
wee nguvu yangu iwapo mnyonge
ananishikaa yeye Yesu
ananitunza nikae salama
ananishika yeye Yesu
ananitunza nikae salama
ananishikaa yeye Yesu
ananitunza nikae salama
ananishika yeye Yesu
ananitunza nikae salama
...