![Wewe Tu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/03/bef1855b292341eebb2d663d33b4173b.png)
Wewe Tu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Wewe Tu - B2K Mnyama
...
.........
star big boy
mocco
si njia sahihi babee
ukijua umependwa uwe mpweke ww tumia nafasi babe
ukijua umependwa nawe upende
kwa stahili utamjuaje mpnz anakupenda ww
tumia nafasi hii babe ujifunze kuhandle utaishi mwenywe
unapenda sana kununu utahandle saa ngap
na nikirudi Salam hakuna tunapendwa wangapi
nakupendaa wewe tu
mama mama mama mae