![Last Chance](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/16/ede0a0dae30b4715b10985fe62286a67.jpg)
Last Chance Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Last Chance - B2K
...
last chance last chance
star beat boy
last chance laste chance
chiby
sikujua kumbe mapenzi ndo haya
yanaweza fanya mwisho ukajakupagawa
aah!
kumbe alikua ananichora we haya
alinidekeza mwisho akajakunibwaga vibaya
vibayaaa
uzuri umepotea mbele sioni
kitaani mashikaji wananicheka mammy
mwili umekongoroka mifupa tu ndo ilo bakia
kama kunakosa mama nisamehe
turudiane
rudi basi home maisha yaendelee
mie naogopaga kuumizwa
mwenzio mawazo yananitatiza
na tulianzaga kufanana
sawa ulipanga kutangaza
najua kuuchuna unaweza
ilanashangaa umekubali kunipoteza
KIITIKIO
aah! iyeeh!
baby give last chaaance
last chance last chance
baby give last chance
ohhhh!
baby give me last chance
last chance last chance
baby give me last chance
ohhhh!
hata kama umebadili Bwana
sio kuacha kwa mtindo huo
inamaana umeridhika ukiniacha mie
OK basi cheza ndondo urudi home
nijifanye sioni kitu mwenzio
si tulikua tukipishana
kidogo msamaha tunaombana
ee
nikipiga simu zangu unakata
online ukiniona unatoka
siamini hivi ni kweli umenichoka
na tena bado silijui langu kosa
labda mapenzi sikumridhisha
utoto niliuzidisha
ukaamua kuniacha
ukaenda mbali ukasepa
uzuri umepotea mbele sioni
kitaani mashikaji wananicheka mammy
mwili umekongoroka mifupa tu ndo ilo bakia
kama kunakosa mama nisamehe
turudiane
rudi basi home maisha yaendelee
KIITIKIO
aah! iyeeh!
baby give last chaaance
last chance last chance
baby give last chance
ohhhh!
baby give me last chance
last chance last chance
baby give me last chance
ohhhh!
C H I B B Y
edited by avenya.