![Kenya](https://source.boomplaymusic.com/group1/M05/C1/7F/rBEezlzdEsCAFs6xAABr6mIEUxo862.jpg)
Kenya Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Kenya - Guardian Angel
...
Mmmhmmmm
Kina mama hoiye eeh hoiye
Kina baba hoiye eeh hoiye
Vijana hoiye eeh
Hoiye eeeeeehhh *2
Wananchi wote viongozi wote
Tushikane mikono tuijenge Kenya
Kenya ni nyumbani kwetu
Tuungane sote tuijenge Kenya *2
Wanaolala tutoke kwa Mitandao ooh aah
Akina mama tufunge maleso oooh aah
Tusiwatukane viongozi Kwa mitandao ooh aah
Let’s make a step ya kuleta mabadiliko ooh aah
Wale wanaotoka ghetto wote na wale wa mtaa eh
Wale wanatoka village na wale wa town eh
Uptown downtown around town
Kenya ni nchi ya Mungu
Downtown around town tushikane mikono tuijenge Kenya
Pre- chorus
Knock yourself out with the rap.