![Atawale](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/02/55a51928d5f44eba9c41a0ed5cbc55bd.jpg)
Atawale Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Atawale - Guardian Angel
...
Atawale..
mwachie yesu atawaleee
mwachie bwana atawale mwachie yesu
mwachiee
atawale atawale tu mwachie yesu
mwachie bwana atawale mwachie
mwachieee
shetani amekufanyia mikuki na mafanga
niya yake yakushusha ukipanda
amekuekea mizigo ya darada
amekueeekea mizigoo ya darada ooooooo
amekufanyia mikuki na mafanga
niya yake yakushusha ukipanda
amekuekea mizigo ya darada
ooooo
mwachie yesu apigane vita vyako mwachie yesu atatue shiada zako
mwachie yesu aongoze njia zako
mwachieeee
oooooouuo
Atawaleee
mwachie yesu
atawale tuh
mwachie bwana atawale
mwachie yesu atawale
mwachiee
atawale mwachie yesu
atwale tuh mwachie bwana
mwachie bwana akutete
(sama till end )
follow me on instagram @nairobian_physco
@kenyan_gallery_spamm