Miamba Imepasuka Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Miamba Imepasuka - Rose Muhando
...
Lyrics of *MIAMBA IMEPASUKA*
*Chorus one*
Tuimbeee....eh..wewe ni bwana....oyeeeee...,
Tuimbeee...eh....wewe ni bwana...oooh lalalalala,
Tuimbeee....eh...wewe ni bwana...glory,glory..,
Tuimbeee...eh...wewe ni bwana..glory eeee...,
Tuimbeee....eh....wewe ni bwana......
*Versi 0ne*
Eee Mungu na Mbingu zikusifu,
Watu na wakuimbie,
Dunia na iseme, wewe ni bwana,
Wewe uliemwangusha Dagon,
Mungu wa wafilist,
Mwisho wake wakajua,
Wewe ni bwana,
Uliegawanya bahari kwa mkono wa Musa,
The big history(Wewe ni bwana),
Ulikomesha masimango,
Na kiburi cha Farao,
Na viziwi wakasema,
Wewe ni bwana,
Uliesimamisha jua kwa mkono wa Joshua,
Wenye akili wamesarendaa..,
Wewe umeweka rekodi isiyoweza kuvunjwa,
Ndio maana tunasema wewe ni bwana,
Acha nikuinue,
Acha nikuabudu,
Mungu kama wewe.....weweeeeee....,
Wewe ni Mungu,
Wewe ni Bwana,
Wewe ni Bwana.....,
*Chorus two*
Tuimbeee....eh..wewe ni bwana....hale hale mwenye punzi na amsifu bwana,
Tuimbeee...eh....wewe ni bwana...oooh lalalalala..ooh lalalalala..,
Tuimbeee....eh...wewe ni bwana...glory,glory..,
Tuimbeee....eh....wewe ni bwana......
*Bridge*
Ebeneza,
Ebeneza,
Bwana wa mabwana,
Mfalme wa wafalme,
Mungu wa miungu,
Nani kama wewe......eeeee...,
Come on..!
Glory,
Power,
Makareshi,
Glory eeeee....,
*Chorus three*
Tuimbeee....eh..wewe ni bwana....we lalalalala we lalalalala...
Tuimbeee...eh....wewe ni bwana...oyee...mama we....mama weee....,
Tuimbeee....eh...wewe ni bwana...oyeyayeyayeya......,
Tuimbeee...eh...wewe ni bwana...lalalala eeeee..eh..,
Tuimbeee....eh....wewe ni bwana......
*Bridge*
Come on....!,
Glory,
Power,
Makareshi,
Glory eeeeee............,