
Sifa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Sifa - Ali Mukhwana
...
unastahili sifa Bwana Mungu unastahili sifa Bwana , unastahili sifa Bwana Mungu unastahili sifa Bwana
uliyenipa uzima ,uzima,uzima wa bure unastahili sifa Bwana
uliyenipa uzima, uzima, uzima wa bure unastahili sifa Bwana
kwa haki yako nimetawala duniani , kwa haki yako nimepata kibali kwa haki yako
nimetawala duniani kwa haki yako umenipa kibali
wastahili, unastahili sifa Bwana Mungu unastahili sifa Bwana , unastahili sifa Bwana Mungu unastahili sifa Bwana
uliyeziumba usiku na mchana Mimi mwenyewe ni kazi ya mikono yako baba nitumie jinsi upendavyo , nami nitumike jinsi utakavyo , maana bila wewe mi ni kazi bure ,bure , maana bila wewe Mimi si chochote
kwa haki yako nimetawala duniani, kwa haki yako nimepata kibali, Kwa haki yako nimetawala duniani Kwa haki yako umenipa kibali wastahili,
unastahili sifa Bwana Mungu unastahili sifa Bwana, unastahili sifa Bwana Mungu unastahili sifa Bwana, pokea pokea pokea sifa Bwana pokea yahweh, utukufu ni wako, mamlaka ni yako , sifa zote pokea chukua yesu,pokea chukua mamlaka na nguvu pokea chukua yesu, pokea chukua
kwa haki yako nimepokea sifa