Jambo Gani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Jambo Gani - Ali Mukhwana
...
Kwani ni jambo gani, linalo kushinda wewe?
Kwani ni shida ipi, iliyokulemea?
Iwe njaa
Iwe kazi
Iwe nyumba
magonjwa
familia
karo ya shule???
Ni Wewe, Ni Wewe
Ni Wewe...
(Ni Wewe...) - Ni Wewe
(Suluhisho letu) - Ni Wewe
(Kumbuka watu wako Baba)- Ni Wewe
(Ni Wewe) - Ni Wewe
(Mponyaji wetu) - Ni Wewe
Yupo Mungu asikiaye maombi yetu
Yupo Mungu, aonaye Kwa siri
Tunapojinyenyekeza, anasikia maombi yetu
Iwe huduma, imekataa
Iwe ndoa, imeshindikana
Iwe huduma, imekataa
Iwe ndoa, imeshindikana
(Yesu) - Ni Wewe
(Mwambie Yesu) - Ni Wewe
(Suluhisho letu) - Ni Wewe
(Kumbuka watu wako Baba) - Ni Wewe
(Ni Wewe) - Ni Wewe
(Mponyaji wetu) - Ni Wewe
Ni Wewe
(Ni Wewe) - Ni Wewe
(Suluhisho letu) - Ni Wewe
(Kumbuka watu wako Baba) - Ni Wewe
(Ni Wewe) - Ni Wewe
(Mponyaji wetu) - Ni Wewe
Ni Wewe
Ni Wewe
Ni Wewe
Ni Wewe
Ni Wewe
Ni Wewe