
Msalaba Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Msalaba - Ali Mukhwana
...
Yesu uzima wangu bwana
Mfariji wangu kiongozi wangu
Msalaba ndio asili ya mema
Nitautua mzigo wako
Nina uzima furaha daima
Njooni tufurahi kwako
Msalaba ndio asili ya mema
Nitautua mzigo wako
Nina uzima furaha daima
Njooni tufurahi kwako
Oooh Yesu sioni haya kwa Bwana
Kwake nitang’ara
Mti wake sitaukemea
Ni neno imara
Sioni haya kwa Bwana
Kwake nitang’ara
Mti wake sitaukemea
Ni neno imara
Sioni haya kwa Bwana
Kwake nitang’ara
Mti wake sitaukana
Ni neno imara
Msalaba ndio asili ya mema
Nitautua mzigo wako
Nina uzima furaha daima
Njooni tufurahi kwako
Msalaba ndio asili ya mema
Nitautua mzigo wako
Nina uzima furaha daima
Njooni tufurahi kwako
Bwana wangu, Mungu wangu
Ndilo jina lake
Sitakana kulisifu
Ni yeye muumba wangu
Bwana wangu, Mungu wangu
Ndilo jina lake
Sitakana kulisifu
Ni yeye muumba wangu
Msalaba ndio asili ya mema
Nitautua mzigo wako
Nina uzima furaha daima
Njooni tufurahi kwako
Msalaba ndio asili ya mema
Nitautua mzigo wako
Nina uzima furaha daima
Njooni tufurahi kwako
Msalaba ndio asili ya mema
Nitautua mzigo wako
Nina uzima furaha daima
Njooni tufurahi kwako
Msalaba ndio asili ya mema
Nitautua mzigo wako
Nina uzima furaha daima
Njooni tufurahi kwako
Msalaba ndio asili ya mema
Nitautua mzigo wako
Nina uzima furaha daima
Njooni tufurahi kwako
Msalaba ndio asili ya mema
Nitautua mzigo wako
Nina uzima furaha daima
Njooni tufurahi kwako