
Nani Kama Wewe (Live)
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Nani Kama Wewe (Live) - Boaz Danken
...
Tuulize milima inatetemeka kwa nani kama sio wewe Mungu wetu,
Tuulize bahari linamuheshimu nani kama sio wewe Mungu wetu,
Wanyama wa kutisha wanamuabudu nani kama sio wewe Mungu wetu,
( Ni nani kama wewe bwana,kama wewe bwana,nani kama wewe bwana Mungu wetu)×3
Bahari ya Shamu aliipasua nani kama sio wewe Mungu wetu,
Kuta za Jericho aliziangusha nani kama sio wewe Mungu wetu
Similar Songs
Listen to Boaz Danken Nani Kama Wewe (Live) MP3 song. Nani Kama Wewe (Live) song from album Nani Kama Wewe (Live) is released in 2020. The duration of song is 00:02:37. The song is sung by Boaz Danken.
Related Tags: Nani Kama Wewe (Live), Nani Kama Wewe (Live) song, Nani Kama Wewe (Live) MP3 song, Nani Kama Wewe (Live) MP3, download Nani Kama Wewe (Live) song, Nani Kama Wewe (Live) song, Nani Kama Wewe (Live) Nani Kama Wewe (Live) song, Nani Kama Wewe (Live) song by Boaz Danken, Nani Kama Wewe (Live) song download, download Nani Kama Wewe (Live) MP3 song
Comments (15)
New Comments(15)
Newstone Mlazi
Mushiewy2z
Nyimbo nzuri sana sema fupi mno..
146891106
no one like you
alex fidelisk2jno
agusae mioyo yetu kwa mguso wa ajabu no1 like you[0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e]
Kan Killian
TANZANIA hakuna kama wewe[0x1f60d][0x1f60d]
Angel Jihad
mungu ndio kila kitu
Emmanuel Rashidfwppl
kama ww Bwana Nan Mungu hakuna tunakupenda Mungu
KingBqsbp0
iam blessed
Deryahwwp9
Hakuna kama Mungu wangu
faraja Mathew21h0d
ni wewe tu el shaadai
Emaswai
shortened
mungu ni mwema kila wakati