
Nikuabudu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Nikuabudu - Ali Mukhwana
...
hakuna mungu mwingine Kama na wewe yesu tunaliambudu kina lako mfalume......
sifa na maabudu zote ni zako eeeeh sifana na maabudu zote ni zako.....
wewe ni zaidi ya mushindi ni zaidi...iii tangu enzi unaitwa mungu unaitwa mungu mwema ni nani mwingine aliye Kama wewe wewe bwana
sifa na maabudu zote ni zako....sifa na maabudu zote ni zako..... hakuna mungu Kama wewe yesu ...hakuna mwenye neema Kama yako mfalume....
kwani Mimi ni nani unitunuku hivi... unitunuku hivi babaaa .....umenipa uwezo wa kuona siku nyinyine.... umenipa uhai bwanaaa...mausio yako yameniweka safii...
sifa na maabudu zote ni zako hakuna mwingine....katika majaribu ayubu alishinda... Wana wa iziraeli ukawashindania....ahh na Mimi najua utani shindania..,.yote unayopitia mungu yuko pamoja na wewe....kile nakuomba mpe sifa zoteee kwako yesu....
(sifa na maabudu zote ni zako).....nakupa zote sina mwingine Kama wewe wewe ni zaidi wewe wewe wewe hakuna mwingine....
......