Nitakase Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2018
Lyrics
Nitakase - Ali Mukhwana
...
mfalume wa Amani nakuja kwakoJehovah nisi mungu mwenye nguvu naomba nitawaliwe na wewe tawala maisha yangu tawala mawazo yangu jehoovah iliniwe nawe .... asante yesu
bwana naomba bwana unitakase mungu mwenye nguvu Bwana naomba bwana nitawaliwe nawee....
hii safari ni ndefu bwana yahitaji neema yako bwana naomba ooh Bwana nitawaliwe nawee siezi bila wewe yee yee siwezi bila wewe niongoze nakuhitaji mwokozi wangu nitawaliwe na wewe nitawaliwe nitawaliwe nawee
bwana naomba bwana unitakase mungu mwenye nguvu Bwana naomba bwana nitawaliwe nawee
(Ombi langu Baba)
naomba roho wako mtakatifu aniongoze safarini naomba eeh bwana nitawaliwe nawee haya Mambo ya duniani ii yamekua mengi kuliko akili yangu Baba naomba yesu uuu nitawaliwe nawee...(siwezi bila wewe) bwana naomba bwana unitakase mungu mwenye nguvu Bwana naomba nitawaliwe nawee...
(ombi langu kwako)
ombi la Moyo wangu Moyo wangu wa kulilia wewe yesu naomba kila siku nitawaliwe nawee siwezi bila wewe nitazama bila wewe nakuhitaji Bwana wangu nitawaliwe nawee (unitakase bwana) bwana naomba bwana unitakase mungu mwenye nguvu Bwana naomba bwana nitawaliwe nawee...
(mungu mwenye nguvu)
end**