Utukufu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Utukufu - Ali Mukhwana
...
utukufu na heshima Bwana,
nizako Yahweh
nizako usiyeshindwa ×2
wewe uliyenihesabia haki
kwa neema yako
nizako usiyeshiindwa.
mnara wangu wa utukufu
na kiinga yangu
ni wewe usiyeshindwa.
bwanaa..
utukufu na heshima Bwana,
nizako Yahweh
nizako usiyeshindwa
Haki yako Bwana yanitangulia,
utukufu wako wanifuata
ni wewe usiyeshindwa
ninaye mtegemea ni wewe
ngao yangu ni wewe
ni wewe usiyeshindwa..
utukufu na heshima Bwana,
nizako Yahweh
nizako usiyeshindwa
Uliyenichagua ni wewe
uzima wangu ni wewe
ni wewe usiyeshindwa
anilindae na mabaya ni wewe
ni wewe Bwanaa
ni wewe Bwana usiyeshindwa
utukufu na heshima Bwana,
nizako Yahweh
nizako usiyeshindwa
~interlude
(please follow for more worship lyrics)
mamlaka yote hapa duniani
nakule mbinguni
ni yako usiyeshindwa
utukufu na heshima Bwana,
nizako Yahweh
nizako usiyeshindwa