![Size Different](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/22/8df161dc246b418b9235806425248078.jpg)
Size Different Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Size Different - Guardian Angel
...
Tuko tofauti lakini sote ni wa maana
Ukijikubali ndio utaona hio maana
(Alexis on the Beat)
Mungu alikuumba ni kwa ajili ya Mulungu wewe
Mulungu, Mulungu
Unajilinganisha na wengine kwanini?
Kwanini, kwanini
Mungu alikuumba ni kwa ajili ya Mulungu wewe
Mulungu, Mulungu
Unajilinganisha na wengine kwanini jamani?
Kwanini, kwanini
Tembea polepole
Kwa mwendo wako wewe mwenyewe
Jaribu ujikune
Pale mkono wako ufikapo
Uko sawa wewe (Sawa)
Hivyo ulivyo
Hio tofauti yako
Ndio inafanya uwe mahali uko
Vidole vyetu, size different o
Size different
Kila mmoja, there is a difference o
There is a difference
Vidole vyetu, size different o
Size different
Kila mmoja, there is a difference o
There is a difference
Vidole vyetu, size different o
Size different
Kila mmoja, there is a difference o
There is a difference
Today let's thank God for it
Yesterday forget about it
Tomorrow may come home for it
Just take one day at a time
Let's thank God for it
Yesterday forget about it
Tomorrow may come home for it
Just take one day at a time
Take one day at a time o
One day at a time
Take one day at a time o
One day at a time
Mungu alikuumba ni kwa ajili ya Mulungu wewe
Mulungu, Mulungu
Unajilinganisha na wengine kwanini?
Kwanini, kwanini
Mungu alikuumba ni kwa ajili ya Mulungu wewe
Mulungu, Mulungu
Unajilinganisha na wengine kwanini?
Kwanini, kwanini
Vidole vyetu, size different o
Size different
Kila mmoja, there is a difference o
There is a difference
Vidole vyetu, size different o
Size different
Kila mmoja, there is a difference o
There is a difference
Vidole vyetu, size different o
Size different
Kila mmoja, there is a difference o
There is a difference