
Nitampata Wapi Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2025
Lyrics
NITAMPATA WAPI Lyrics
INTRO
JiniX66...
Jay Once Again....
Olooh loo loh....
Olooh loo loh....
Olooh loo loh....
Samaa......
VERSE - 1 (Maua Sama)
Ntampata wapi Jamani ,
Atae Nipa amani,
Muda wote burudani , ooh
kwenda nje nsitamani,
waniulizie majirani,
Yuko wapi Huyu jamani
Simu yake niikimbilie
Ole wake anifanye nilie
Niwe wake ye wakwawangu mie
Kwa hayo mapenzi niko radhi nisiwasikie
CHORUS
Jama kama uyo
Ntampata wapi
Kama uyo ntampata wapi
Kama uyo
Ntampata wapi Kama uyo
Ntampata wapi "Ntampata wapi"
Instrumental Playing
VERSE:2 (Jay Melody)
Yeye tu nikilala nimuote yeye tu
Nipo chin aje juu
Taratibu akinipa mavitu
Anipe utamu kila siku
Kwa ujazo asifanye kiduchu
Apo tu roho kwatu
Nikishushia na supu
Niwe wake awe wangu
Changu chake
Chake changu
Simu yake niikimbilie
Ole wake anifanye nilie
Niwe wake ye wakwawangu mie
Kwa hayo mapenzi niko radhi nisiwasikie
CHORUS
Jama kama uyo
Ntampata wapi
Kama uyo ntampata wapi
Kama uyo
Ntampata wapi Kama uyo
Ntampata wapi Ntampata wapi
(c)2024 Sama Music.All Rights Reserved.