Bye Bye ft. Harmonize Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Yeah
The melanin queen, yeah
Bomboclat, mmh
Hivi tuseme alijisahau
Ama alijiona ameshapanda dau
Maneno maneno ya nahau
Yakazidi, na mi mtu sio nyau
Hakujua nini tofauti, baina ya mjinga na mpole , ooh
Hadi saluti, nikapiga nikisema sorry
Kukuombea mema , ni uongo
Walahi nakuombea, upate chongo
Ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
Hadhi yangu kubwa sana si mimi kuwa mdondoo
Hatuwezi kulingana kauli hata matendo tu,
Kwaheri ya kuonana leo nalivua pendo
Byebye, bye bye, bye bye mwanakwenda bye bye
Byebye, bye bye, bye bye mwanakwenda bye bye
Byebye, bye bye, bye bye sikudai bye bye
Byebye, bye bye, bye bye hunidai bye bye
Oh oh, bye bye mwanakwenda ah
Ah ah, sikatai nilikupenda ah,
Uoga wa kunguru, kuzilinda mbawa zake,
Kikubwa uhuru, tajiri na mali zake
Hello from the other side
And i feel so bad
Kukuombea mema ni uongo
Walahi nakuombea upate chongo