Upo Nyonyo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Upo Nyonyo - Saraphina
...
shamba la babu nalimaa
nivune muhogo na shina
ur tambalare na milima mmh
kufika kilele lazima
Nilisha thubutu kupenda nisipo pendwa
lkn siachi ooh siachi
Msumali wenyekutu nilichomwa
nikapata donda lkn siachi ooh siachi
Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashalla..
mambo mwanana nimesitirika eeh wallah
Nimelipata bwana la kunidekeza nalala
Nimeridhia sina muda wa kumchiti wallah
heee Nipo nyonyo nipo titi aah nimejaa tel
Nalishwa vino vinono nipo fiti aah nimejaa tele×2
sitaki chupa ya soda bby niletee energy
wajua uko na mim watumie message
Me hoi leglege nitupie kwa bed eeh
kabisa galagaze mpaka nje....
Repeat CHORUS