Wamerudiana Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Wamerudiana - Saraphina (TZ)
...
Saraphina Tz _Wamerudiana
.........
pon the track
(verse1)
Ntamtazamaje??....
Ntamtazamaje eeeey..!?...
Ntamtazamaje eeeey.....
hayaishioooo..mawazo hayajaniishiaa
hayaishiooo.....
hayaishioo ooh sihishiwi kukufikiria...hayaishioo...
we si uliniambia ulipotoka nyuma uliumizwa
kateswa kaumiaa, Mapenzi ukachukiaa
tena ukaniambia umechoka ah kutwa kulizwa, ulikosea njia ulidhani mwanga kumbe giza
Ulinidanganyaaa....
mi wa kufa kuzikanaa...
Nami nikazama, kukupenda baba..
ye si ndo Alofanya ukalia sana,
moyo ukaugawanyaa
mbona mmerudiana.
(chorus)
Siaminii tena Mapenziii....
Wamerudianaaaa.......
Wamerudianaaa.....heeh!!
ndo yule alomuumizaga..
Wamerudianaaa heeh!
alouponda moyo wake,
Wamerudianaa....heeeiye
ooh...yeeh..yeeeiyeah
ooh.. aaah..yeeeh
(verse2)
kumbe nilipoteza muda kumpigia guitar mbuzii, sikujua ungekuwa yuda ningepata maudhii
mengii uliniambia...haumpendi unamchukia nyongo imetumbukia hautaki hata kumsikia
mnyonge nikakuhurumia..
chozi nikakufuta pia..yote yamesahaulika leo umemrudia heeiy!
yarabii huruma yangu ndo iloniponza
nilompa moyo wangu kanipa kidonda....
Ulinidanganyaaa....
mi wa kufa kuzikanaa...
Nami nikazama, kukupenda baba..
ye si ndo Alofanya ukalia sana,
moyo ukaugawanyaa
mbona mmerudiana.
chorus
Siaminii tena Mapenziii....
Wamerudianaaaa.......
Wamerudianaaa.....heeh!!
ndo yule alomuumizaga..
Wamerudianaaa heeh!
alouponda moyo wake,
Wamerudianaa....heeeiye
Ntamtazamaje ooh...yeeh..
Ntamtazamaje ooh....oooh
Ntamtazamaje mmmmh...
...............