Do Salale Lyrics
- Genre:Kwaito
- Year of Release:2023
Lyrics
DO SALALE lyrics
Doh salaleh
Nimeachwa
Doh, doh, nimepigwa kibuti
Verse1:
Mmh..
Eti kisa jana nimelala na nguo
Anataka mapenzi kwa mkupuo
Anasema, sijui ku handle
Nikajifunze chuo
Mmh, nimeachwa
Anantesa nampenda
Japo rangi yake ka jaluo
Asubuhi, mchana usiku mizagamuo
Mi siwezi, nimeachwa
Natamani nilewe
Ila sa nikilewa pombe nazo zinashuka chini
Nami sima wa hubani n’tafanya nini
Yalah weh… mmmmmh
Chorus:
Doh salaleh
Nimeachwa
Doh, doh ,
Nimepigwa kibuti
Doh salaleh
Nimeachwa
Doh, doh, doh
Nimepigwa kibuti
Verse:2
Hayana urafiki mapenzi (ooh mapenzi)
Hayana ushkaji mapenzi (ooh mapenzi)
Magodoro yamelowana
Hayana afadhali mapenzi (ooh mapenzi)
Huku kwangu sio shwari mapenzi (ooh mapenzi)
Magodoro, yamelowana
Natamani nilewe
Ila sa nikilewa pombe nazo zinashuka chini
Nami sima wa hubani n’tafanya nini
Yalah weh… mmmmmh
Chorus:
Doh salaleh (nimeachika mwenzenu)
Nimeachwa (oooh)
Doh, doh ,
Nimepigwa kibuti (doh, salaleh)
Doh salaleh
(Nimeachwa mimi)
Nimeachwa
Doh, doh, doh
Nimepigwa kibuti
(Doh, salaleeh)