In Love Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
In Love - Saraphina (TZ)
...
Mmmmh... mmhhh
Kila kwenye ndoto zangu
Naotaga kuwa na wewe
Hata nikisema naugua (Ah)
Dawa nahisigi wewe
Unaishi mawazoni mwangu
Furaha ya mi ni wewe
Hata nikisema naugua (Ah)
Dwa nahisi ni wewe
Na sio kwamba siwezi kupata mwingine
Ila moyo
Sio kwamba sipati kutakiwa (Ah)
Mi amor
Sio kwamba siwezi kupata mwingine (Eeh)
Sio kwamba sipati kutakiwa (Aah)
Na wala sio zoba, nazi, koroma (Ah)
Kinacho matter ni upendo upendo (Koroma)
Mi sina uzoba, ama ukoroma
Kinacho matter ni upendo upendo
Na ninakupendaaaa
I'm in love with you
Am in love, am in love
Am in love with you
Am in love, am in love (Na ninakuaminia)
I'm in love with you (We na mi)
Am in love, am in love
Navuta picha labda si tukitengana
Na nilivyopenda hivi uhisi itapoa (Doro doro)
Siipati picha ila siku ya kuoana (Aah)
Na tusipotenda hivi hudhani itaboa (Dorodoro)
Mapenzi matamu tupendane
Wabaya washindwe kushauri
Uwe wangu wa milele tufanane
Mi kwako ndo sina hata kauli
Na wala sio zoba, nazi, koroma
Kinachomata ni upendo upendo (Koroma)
Mi sina uzoba ama ukoroma (Ah)
Kinachomata ni upendo upendo
Na ninakupendaa
I'm in love with you
Am in love, am in love
I'm in love with you
Am in love, am in love