Sio Kitoto Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2021
Lyrics
Sio Kitoto - Saraphina (TZ)
...
nikitaka mwendo kasi speed nikolezee babe
kasito masaki nichombeze babe
usipokuwepo nakuwaza sana wee, sijazoea kuishi bila wee
siunajua minakupenda wee,
usikatishe movie basi tuendelee
mi kwako, kwako sichomoki moyo wangu umeupiga loki(aku siondoki}
na wanaju-aa mii kwako kisiki sichomoki hata wakileta noti(aku siondokii)
sio kitoto,kitoto(kwako nimezama mazima)
sio kitoto, kitoto(jahazi limezama safina)
sio kitoto, kitoto(kwako nimezama mazima)
sio kitoto, kitoto(jahazi limezama safina)
Instruments
kama ukichoka uwani(hee), nipeleke sebuleni(wee)
dereva bila miwani(mmh), kafumaniwa ukweni
huna-na-na see my dear, tujinafasi
mwengine ni nani wakunipalia kama sio weeeeh
ukinikazia stimu zote utazikata, mi nataka tuwe kama kijumbe na ukatu
nipe kwa hisia taratibu navyokata, kushoto kulia kanyagia my dear chopachopa.........