Upo Nyonyo Acoustic Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Upo Nyonyo Acoustic - Phina
...
nipo nyonyo nipo titi nalishwa vinono nipo fiti ×2
...oooh ooh ooh uuuu ooh ooh. ooh ...shamba la babu nalima....nivumne mhogona ..... ...niwee tambarare n vitima kufika kilele n stima nilisha thubutu kupenda nisipopendwa lakini siachi oooh siachi msumari wenye kutu nilichoma nikapata donda lakini siachi ooh .....nilikondea nitashukuru sasa mashalah mambo mwanana nimesitirika ewalah nimelipata bwana la kunidekeza lala tumerithia Sina muda wa kucheati waalah ...eiiiiii nipo nyonyo nipo titi ahh nimejawaleteee nalishwa vinono nipo fitii ×2
oooh ooh ooh uuuu ooh ooh ooh uu
sitaki chupa ya soda baby niletee eneji wajue uko n mm watumie message oooh mihoi legelege tupie Kwa bedi ehh ........nilisha thubutu kupenda nisipopendwa lakini siachi ooh siachi msumari wenye kutu nilichoma nikapata donda lakini siachi ooh nilikondea nashukuru Sasa mashalah mambo mwanana nimesitirika ewalah nimelipata bwana la kunidekeza lala tumerithia Sina muda wa kucheati waalah heeeey
nipo nyonyo nipo titi ahh nimejawa telee nalishwa vinono nipo titi ahh nimejawa telee ×2
oooh ooh ooh uuuu ooh ooh ooh uuuu ........