Sitaki Tena Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Sitaki Tena - Saraphina (TZ)
...
nitachowaambia msiache kumwambia na yeye ee simchukii laana anajipa mwenyewe oooh noo mwambieni sijutii kuwa mbali na ye apunguze presha ha mwambieni si Lili penzi lake nilisha lihitimisha ooh hazijabaki memory Wala kumbukumbu nishamsahau mazima hata nikimuona nakuona Kama nungunungu so Kama namvunjia heshima makombe amalize ajifushe na nyungu akakoge na maji ya kisima Ila Mimi nimeshaapa kwa mwenyezi mungu haitojirudia daima
sitaki tena
tena mwambieni asinisumbue Mimi
sitaki tena
nipo bukheri na nafsi yangu uu
sitaki tena
abaki na zake nibaki na zangu
sitaki tena
nipo bukheri na nafsi yangu uuu
Dua zake mbaya kwangu nife lini lipo sasa najua aa
na jua likiwaka kiza kikitanda ananiwaza najua mwambieni asihangaike na mipasho moyo wake Mimi naujua aa sitaki kumdhalilisha nikatajana Siri zake Nika muumbua as
hazijabaki memory Wala kumbukumbu nishamsahau mazima hata nikimuona nakuona Kama nungunungu so Kama namvunjia heshima makombe amalize ajifushe na nyungu akakoge na maji ya kisima Ila Mimi nimeshaapa kwa mwenyezi mungu haitojirudia daima
sitaki tena
tena mwambieni asinisumbue Mimi
sitaki tena
nipo bukheri na nafsi yangu uu
sitaki tena
abaki na zake nibaki na zangu
sitaki tena
nipo bukheri na nafsi yangu uuu
mwambieni sijutii kuwa mbali na yeye apunguze presha ha mwambieni si Lili penzi lake nilisha lihitimisha ooh