We Huogopi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
WE HUOGOPI
Yah, yah, yah, yah, yah
Yah, yah, yah, yah, yah, yah
Yahweh, yahweh
Verse 1:
Eh Mungu wangu, ona
Kidogo ulichonijalia mimi,
Kuna watu wanakerekwa
Wanaumia yah, ah
Hapo ndo sina hata vyangu,
Naishi nyumba ya kupanga,
Sa nikijenga itakuaje?
Wataniwekea sumu
Wataniua mimi (aah)
Siku hazifanani (aah)
Kesho yangu yaja , oh yaja
Nitanunua kandinga,
Wale watakaonipinga,
Siwapandishi
Na Mungu si athumani (aah)
Jina langu litatajwa, litatajwa,
Nitayashinda, namwamini yeye tu,
Hamnitishi
Chorus:
Nalindwa na Sir God,
(We huogopi)
Nipo ngangari na siogopi chochote
(We huogopi)
Ukirusha mshale unadunda
(We huogopi)
Na ndo maana mi nadunda tu
(We huogopi)
Nalindwa na baba eh
(We huogopi)
Nipo ngangari na siogopi chochote
(We huogopi)
Ukirusha mshale unadunda
(We huogopi)
Na ndo maana mi nadunda tu
(We huogopi)
Verse2:
Mia yangu, jero yangu, buku yangu
Niko happy, kisichoriziki naachana nacho
Ndala yangu, bukta yangu, shati langu (eh, mmh)
Niko happy, kisichoriziki naachana nacho
Siku hazifanani (aah)
Kesho yangu yaja , oh yaja
Nitanunua kandinga,
Wale watakaonipinga,
Siwapandishi
Na Mungu si athumani (aah)
Jina langu litatajwa, litatajwa,
Nitayashinda, namwamini yeye tu,
Hamnitishi
Chorus:
Nalindwa na Sir God,
(We huogopi)
Nipo ngangari na siogopi chochote
(We huogopi)
Ukirusha mshale unadunda
(We huogopi)
Na ndo maana mi nadunda tu
(We huogopi)
Nalindwa na baba eh
(We huogopi)
Nipo ngangari na siogopi chochote
(We huogopi)
Ukirusha mshale unadunda
(We huogopi)
Na ndo maana mi nadunda tu
(We huogopi)