
Party ft. GJB100 Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Its K-Wise Baby
P P P-Mani
Hapa ni party, party, party uuuuu
Hapa ni party, party, party uuuuu
Mambo iende (words to the wise)
Checki hapo mambo fresh, (mambo freshe)
(Tapi 58)
Mambo iende
(GJB mia moja)
Checki hapo mambo freshi (Mambo freshe)
Niki step in, na skia ma deep sigh
Waki see I wana say hi
Ne ne ne next one in ndio my size
Mwenye ma sexy eyes upenda ma naughty vibes
Uzuri pocke fat ziko fortified
Enough kumueka occupied
Pori fat nika nimesunda ki loaf (ha)
Chini kicks ni fresh ni ma loafer (ha)
Ka sea maji iko all over (ha)
Party mpaka morning bila stopper (ha)
Hapa ni party, party, party, uuuuu
Hapa ni party, party, party, uuuuu
Mambo iende (Party is party)
Checki hapo mambo fresh, (mambo freshe)
(Sherehe sheria)
Mambo iende
Checki hapo mambo fresh, (mambo freshe)
(Sherekea bila care)
Nishakishagwa, check isha clear
Ekelea nyama, nauongeze ma kerea
Alafu ma weedi wada, iwe order
Niki sherekea bila care niki zigi zaga
As ii ssssserereka makwela waki tigishaga
Niki wasikizaga ni spe spe spectacular
Zameremeta ziki tetemeka
Shake that money maker
Hapa ni party, party, party, uuuuu
Hapa ni party, party, party, uuuuu
Mambo iende
Checki hapo mambo fresh, (mambo freshe)
(waki see I)
Mambo iende
(Ni testimony)
Checki hapo mambo fresh, (mambo freshe)
(Ni me test money)
(Nyasai ame bless I)
I
Fresh