Clear The Frequency Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Lyrical assasin niki paisha immortality
Gueza kipaji to maternity
Kwa booth na deliver
Mataa kwa mitaa si face me nipate mitre
Till then on this
Nika nalipisha kisasi ka kasisi kwa ki zazi kipya
Hapa kuangalia saa zii
Uhodari kuchongwa uchukua muda
Nikiandika mystari upya
Verse needing V.A.R
Niki come na fire
Kuni de throne kwa hii empire utaneed umpire
My thoughts bonfire
Lets just start juu msamaa mbaya
Na please dont break your neck juu ya ku nod head
Vile nili touch down fans wali sleep on me
Bila makofi nili feel umcomfy,nika soma copy
Chap chap that woke up me nika smell coffee
On this instance success haitakua insta
Ndio picha from a distance
I knew lazima ni create change ndio ni get chance
Beyond bars, I needed to shake it up
Ni break mould ku bring heat to rappers
Walikua wameaza ku get cold
Vile gate keepers walikua na strong hold kwa hii game
Its a shame we blocked while we free
Unless we pay a fee
Na Kartel ana top charts akiwa behind bars
i can tell hatuko huru, but you know me dog,
Always working on a sulu-ishow
No matter what the mission sijawai lack vision
See me moving bricks to give my communitee keys
Might miss ukiwa blond sniping mission Kwanza nikiwa juu ya ki bond seven
Leave fans wakisema ooo ooo saba
Bisha mlango with bold moves
Linked up with MJ, Keffa, Evano na Brima
DKC, yes thats ma family
What one can do five can do better
You can see it clearly
We build the raft to get them bread and butter
Kufungia talent ni njia ya wale ukua na cowardly ways
Wakisema sitacheza juu na nafanya quality control
Hoping uta dig deep kwa mbosho
Ndio your records zipate spins
What they miss
Hizi spins ndio zinifaa kufurisha pori
As you approach unakua porched
Na just like that umekaziwa key ya ngazi
Kwa pori ujui utatoa wapi ya andazi
See men stressing, mapenzi ya shuka
Less benz on roads
Unaweza ipokea ka ujumbe ujue ya mbele
Au uenda ikawa haya natunga nukisonga
Haidhuru we create worlds with our words
As a man thinketh so he liveth
Ama ni be-eth probably behave
As long as si enclave na weza exhale
Nway let me proceed
Nipate proceeds niki push my posse for all to see
But first things first
Let me big those that laced me
To cure hii kiu Curtis Wa Kijee hiphop republik 1st radio play thank you
Coco Sobo na DJ Jessie kwa Take Off Walinishow niko certified
That left me satisfied for a minute but I am going for greatness
Nafsi huru pushed me to the people daily
Made it to a few charts word up Kennie
Limuru wanajua Wa Furu brings that fire
I'm in building na na lay my claim
Ares blessed me
Vice said I raps Nice
Afrvka so the vision sidai vitisho
Kunta alisho love
Gitosh akaleta magic touch
Upcoming ana rap royalty
Wha gwan bRainman
My baby growing quick
N she need that yard before she 18
Thats why niko me fighting
Me na Bura tuna kick in doors wakujua existed While they act we dont exist
But soon come we be send them to the nearest exit
Rev Jeos about to blow up
This right here naipon
Vile imeandikwa ndio inatamukwa
Hakuna typo, big up Plate sahani kubwa
Juu nadai jasho ya mi si mi
We se we baki ha sa po uki tarajia ma tarajio ya mi si mi
Hii right here ni PSA
Tapi is here so mkeep hizi exit clear
Ukiskia ding, watch them fly out ya ring
Utilizing insomnia ku bring dream near
Walio nipa loyalty watapata royalties
Cover clear ya a few magazines
unaweza isoma kwa magazeti
Ku make my familia wamange zebu hakuna kitu siwezi
Leaving teeth marks ka Suarez
Ngware iva kwa kware
pitia masimba kuona Moyale, yep thats my people
Waki peep hao people walio zaliwa karibu na pipa
Vile walivyo badili maneno yaka leta malipo
Yagi yoo, yagi yao
It's a heavy load, kwa slipery road
Bless me lord nitoe my people kwa hizi struggle
For my first blood
Precision ni ya Rambo kwa haya mambo
Ni baki kwa jungle unchained
Ku survive kwa hii janga inabidi kujipanga
eneza upendo kwa wote bila malipo
Chorea iyo panga
Maji maji uprising now ni ya mental
Unaweza come nikushow method
Hizo physical uta need dettol
Sometimes tuna obsfucate
Your real importance unekana uki arrive late
And with that said it wont be funny
Madam ulidate akisema the rains late
Mate only way you win this debate
Ni uki utter less thats what it takes
Probably it bout time ni take a break
Tapi
P-Mani Records
Hii si off the dome it was written