Bila Barz Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
After hard times wali pora Kennie ndio wawe na siku njema
Ku quench thirst time ya drought walisifu mgema
Sea food ma times punguza beef
Uwe na real chance kuepuka maisha brief
Tenda wema uishi vyema
Is only fullfiled uki lala mahali pema peponi
Na sioni tukiomoka tutoke kwa jangwa uu mwaka
Vile blind ana lead blind
Waki ni show missioni, nikuitisha kumi kumi
Na ni jukumu letu kila mmoja wetu ku close hii bottom gap
Sahii opportunities ni equal ku usurp, sio tu wasapere
Kukua admin kwa kila whatsapp group, ni proof una kihere
Ni dislikable sana the fact unalike own post kwa mneti
Uki ni braggia million views bandia for 60k When it cost you 60k kumake, for f sake
Usi shangae sana why kila rappers ukua na imaginary hater
Ofcos hii ni chance ya ku teta wakibweka bweka vile watamfieka
Complaining is easy especially ka career ni ku run mouth
But bila doubt utaona any day ni ki chase clout
Though na trace crowds nikiweka imani kwa pen n paper
Zile oo oo hot hot pia uhoa
Invest in more than just beauty na woo woo
Ku provide ni duty jifunze mapema ata ka ni ku ride nduthi
Behind closed doors wana weka rover kwa moon
Ku research star kabla super nova bila kutrace u-star
Meanwhile si tume nuna vila una tu moon us, in broadlight daylight
Kwa camera ukivua nguo za kukupa ndio ukue super star
To her its seem just fine
Aim kwa head, ikiwa in the am, ni aki ni dm
Ni see them nim pick up in the pm
Anipe head ata get ahead
Akidhani ana carpa diem ndio apate per diem
Sheesh, just for give them
I'm not pulling your leg, hizi ndio story ziu spread
Influencer alikua in it for fun
Kapiga nduru after kupewa dudu for dessert
What would you do kama umekua flown out to castle in the dessert
Na akiwa back, umeza mate juu ya iyo back
Giving iyo shirt iko on your back to impress her
But ye yuko idhaa ya Subaru boyz, wako na Impresser
Usi catch feelings, its all made up
Na make up kwa kiyoo iko kwa dresser
Umaskini ni costly, na ukua umejaa mikosi
But looking forward to time msosi haikosi
Hii cosi ikilipa nieweze kufeed hii kikosi
Tuwache kuogopa kuenda hosi
Juu ukiwa na afew coins kwa pochi ukiwa sick ua haitoshi
Hold on let me speak
Actually zikiwa za loan they all oppose you
Almight alitupa maisha free lakini maiti ulipiwa
Na sehemu za mwili kuibiwa
Soon shade ya tree haitakua free
Evidence ni si u charge for makaa
Wacha ni voice it
Bila shouting na wakilsha Afrika na hii sauti
Niko slow pace kwa contest
But one day nitakuwa the dopest
Kila song nashongesha sheng cheddar niki collect
Wanaobishana nami wako rong set
Juu nina mashabik mpaka Stanbic tangu ni pick up hii bic pen
So zoeya hii sauti, juu talanta nita abuse
Mpaka waseme na buy views
Hao kwa rear view waki snooze
Mi niko out here na saka golden goose
Shoes nisha tie, nika reduce brews
Na uwezi ni find niki indulge kwa upus
Imagine in a few itakua news waki ni accuse
Ati nime tumia magic ama ku get lucky
Truth be told hii si coin toss
I paid the price to be boss
Lord knows nimetake losses kwa hii path ya success