Usanii (Dope Cast) ft. Sela Ninja & Ares66 Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Wosh wosh wosh (yeah)
wosh wosh wosh (255)
Eeh MCs wasaniis come thru
Tuchapiane, tushauriane, tujuane, tuinuane
Naona una give thee best but still una fail hii test
Unajituma though mazao nika utumwa
Industry haina huruma ina feel ni ka wana tudharau
While we move around ku inspire crowds
Na vile we ni mdeadly hata after ku deady unafaa kua ume get centi
Now ni evident it's upon us ku change this
Ku make them see us, find away ya kutoka with some cash
Juu ile iko currently it leaves us unappreciating Romi tukilalia Sewer
MVP players wana risk depression kutoka bila pension
Though arts u-build nation, na ma time u calm tension
Bila kumatema ni hard ku hold kioo kwa jamii
Ukiwa ka unenge stamina u-go missing
This sent me to medi, surely tuna need medicine
Wasipo tu main stage us our future wana hold hostage
Isifike hii stage
Hii si podcast, hii ni dope cast
Hii ni mbogi ya all over tuko focussed
Hii si podcast, hii ni dope cast
Hii ni mbogi ya all over tuko focussed
Keep digging son, this is do or die
Ushapoteza nguvu kazi kibazazi walahi
Game cheche, bila discipline ni apeche
Walete, hacha mapepe fanya ma fekeche
Biashara kichaa whether you like it or not
Na tatizo sio tatizo ila ni how you sought
Kisa jealous, wengi walikuja wakapotea
Take care, this is do or dare
Vitendo dhidi ya ma maneno wamejaa mayuda
Timing is everything, usicheze na muda
Keep your eyes wide open, ni consistency
Hakuna shortcut, kuna distance
Zaidi ya dough re mi far so la ti do
Do ti la so fa mi re do
Wanapozwa na ubinafsi
Sio revolution evolution
Hakuna conclusion bila solution
Ain't got no better, bamba ki Sela
Hacha kumbwela huku wadao wanaleta upera
Push your head, kichwa sio mzigo boy
Na hata ukibisha unikomoi
Hii si podcast, hii ni dope cast
Hii ni mbogi ya all over tuko focussed
Hii si podcast, hii ni dope cast
Hii ni mbogi ya all over tuko focussed
Hii si podcast, hii ni dope cast
Hii ni mbogi ya all over tuko focussed
Hii si podcast, hii ni dope cast
Hii ni mbogi ya all over tuko focussed
Yea
Naskia wanabonga tu
Nairoberry kunoma wananyoka watu
Huku mtaani huki come tuko matawi ya juu
Ngori ni ya kutema kama woria, anachonga tu
Naskia wanazoza juu
Kwa mortuary ni ngoma wanachocha crew
Huku ndani kuki burn tuko high times two
Worry ni ya ukiteveva morio anachoka tu
Na ukiskia paa, juu imikukosa
Aliyelengwa na shabaa amefanya makosa
Maskini tunakaa, jua imechomoka
Washikaji kadhaa manjege washa dondoka
Na ukiskia njaa nabado hauja osa
unadai mahali unaweza kula Ugali saucer
Mavazi tunavaa, ni luku imeomoka
Na kama ushiki rada itabaki umemonchoka
Mboka mboka, mi na chapa mboka
Alafu mwisho wa siku sherehe ya kukata na shoka
Toka toka, mi na toka teke maajabu kijiko siko mpaka karao anachoka
Hawker, hawker, anatoka siaka akicheki mtara tara ni ya njoka, njoka
Broker, broker, ndio biashara na kwara
Ukicheki msichana msawa ni ka nyoka, nyoka
Hii si podcast, hii ni dope cast
Hii ni mbogi ya all over tuko focussed
Hii si podcast, hii ni dope cast
Hii ni mbogi ya all over tuko focussed
Hii si podcast, hii ni dope cast
Hii ni mbogi ya all over tuko focussed
Hii si podcast, hii ni dope cast
Hii ni mbogi ya all over tuko focussed
Hii si podcast, hii ni dope cast
Hii ni mbogi ya all over tuko focussed
Hii si podcast, hii ni dope cast
Hii ni mbogi ya all over tuko focussed
Hii si podcast, hii ni dope cast
Hii ni mbogi ya all over tuko focussed
Hii si podcast, hii ni dope cast
Hii ni mbogi ya all over tuko focussed