![Zip Zip ft. GJB100 & Sini Shana](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/05/1981ebde5bf4421291fb42390f7954a6H3000W3000_464_464.jpg)
Zip Zip ft. GJB100 & Sini Shana Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
P P P Mani
(Its Jegede on the beat)
Walibonga mob hati hatuta make it
Sahii si ndio chi with the big D
Wana zip, zip zip zip
Waki tucheki Wana zip zip zip
Tuki turn up wana zip zip zip
Tuki show up wana zip
Wanachimba shimo tuingie ndani
Cheki sasa wameingia wenyewe
Vile na kata, vile na dunda wananymaza
Pretty girl dem kila side na washngaza
Vile na cheki aki whine anakatawembe
She too dangerous na anamwenyewe
Uui I uuiuui
Uttoruka aki bend over
Uui I uuu
Kiuni chake ka kina moto
Dada zungusha tingisha bend down pose
Wacha hera iongee, kata mdogo
Walibonga mob hati hatuta make it
Sahii si ndio chi with the big D
Wana zip, zip zip zip
Waki tucheki Wana zip zip zip
Tuki turn up Wana Zip zip zip
Walibonga mob hati hatuta make it
Sahii si ndio chi with the big D
Wana zip, zip zip zip
Waki tucheki Wana zip zip zip
Tuki turn up Wana Zip zip zip
Kwa microphone, uwa hawatuoni
Toppa di top dons na makora zone
Tu ki step up, dem a shut up
Hii Kanairo si ndio kusema
When in your area sherehe uwa sheria
Na Sheri ashakuambia papa is here
Mans a big fish with a purpose
Yaani ule Mufasa mwenye umpapasa
With your mbabie ni bubu game
Nikikugongea hakuna kuongea
Bakora ya chokora kila angle
She, she never wanna let go
Walibonga mob hati hatuta make it
Sahii si ndio chi with the big D
Wana zip, zip zip zip
Waki tucheki wana zip zip zip
Eeeee eeeee
Ati, ati ajue mtonde mambo ya wahenga
Nilikaa mbaya mziki yangu akanitoka aii
Siwezi bonda ni mchezo ya poker
Kikulacho na amini iko kwa trouser
Oya, kaa chonjo mami adui yako yuko kwa corner
I say chonjo nani, kikulacho kiko mboka woyo
Nawako eyes set, every move wanicheki kwa cassette
Nawangoja niende, na Sir Godi bado anani bless
Woyo
Walibonga mob hati hatuta make it
Sahii si ndio chi with the big D
Wana zip, zip zip zip
Waki tucheki wana zip, zip zip zip
Tuki turn up Wana zip, zip zip zip
Toka ma sim sim na kashata
Sa ni ma sip sip kado ya ma platter
P-Mani ndio ma show stoppers
Na Tapi aki I-pattern hakuna ile uwezi pata
Iwe we ni flat tyre mummy
Ama una tummy mummy
Yote uwa yummmy
Kwanza hizo ma bubbly bubbly ziki jiggle jiggle
Mayo, lovely lovely
Kata iyo kiuno
Iwe slim waist ama kanta
Nayo nayo
Kata iyo kiuno
Iwe slim waist ama kanta
Nayo nayo
Walibonga mob hati hatuta make it
Sahii si ndio chi with the big D
Wana zip, zip zip zip
Waki tucheki wana zip, zip zip zip
Tuki turn up Wana zip, zip zip zip
Walibonga mob hati hatuta make it
Sahii si ndio chi with the big D
Wana zip, zip zip zip
Waki tucheki wana zip, zip zip zip
Tuki turn up Wana zip, zip zip zip