![Blessings ft. GJB100](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/05/1981ebde5bf4421291fb42390f7954a6H3000W3000_464_464.jpg)
Blessings ft. GJB100 Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Subira uvuta heri but my girl you didn't wait
Mm
Hustle imejapa sahizi on God's time, God'stime
Girl alikua anataka soft life
Lakini back then nilikua hard times
Patience hakakosa hakajichuja
Ooh ooh ooh, ei
Nani hajui that life u-change
From nothing nika-break iyo chains
Good times na watu wangu around me
Yeah, ooh, ooh ooh
Blessings, saa hizi naziona kwa wingi
Zinifuata, blessings, blessings
Blessings on blessings, racks on racks tunastack
Me na my dream team ndio tha money team
Naishi vile wanaota, sha shika yangu nyota
But back then, O.M.G
Nilikua shenzi, nikubeba ka my Shenseea
Nikidhani ulikua sincere, kumbe mapenzi yalakua mepesi
My eyes zilisee only you nothing we couldn't do
Uli concur hii world tuta conquer
Alafu ukashika guu ukanitoka
Nikipikachu, finance vile zili pika boo
Bigi bigi ki hot steppa ndio uka sepa
Nani hajui that life u-change
From nothing nika-break iyo chains
Good times na watu wangu around me
Yeah, ooh ooh ooh
Blessings, saa hizi naziona kwa wingi
Zinanifuata, blessings
Saahizi naziona kwa wingi
Blessings, saa hizi naziona kwa wingi
Zinanifuata, blessings
Saa hizi naziona kwa wingi
Blessings over blessings is all I see around me
Surrounded na ma nice things
Amani pesa, mbali na ma money chaser
Bila stress-a, nikipepea kwa paper
Ka hunge-sepa for sure unge witness
Hata with less I was still interesting
Bila complainer, head iko above water
Life nisha change, nika come off the chain
No more a squatter, no more at pain
No more at war, si kila point ku score
Kuweka plainly, relationships uwa si zi strainy
Girl alikua anataka soft life
Lakini back then nilikua hard times
Patience hakakosa hakajichuja
Ooh ooh ooh, ei
Nani hajui that life u change
From nothing nikabreak iyo chains
Good times na watu wangu around me
Yeah, ooh ooh ooh
Blessings, saa hizi naziona kwa wingi
Zinanifuata, blessings
Sahii naziona kwa wingi
Blessings, saa hizi naziona kwa wingi
Zinanifuata, blessings
Saa hizi naziona kwa wingi
Blessings, saa hizi naziona kwa wingi
Zinanifuata, blessings
Saa hizi naziona kwa wingi