Kitu Sure ft. Brima Maovete & Kitu Sewer Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Yeah
Ni Tapi
N had to get kitu sewer on this
Kumake sure hii kitu sure
Yeah
To be precise to get ur honour vile ona
Yangu onus ilikua ku serve you vibe conscious
Nikiwa consice but daily I witness
Masses waki ishi vi abnouxious
Which leaves me nauseas
Najua ya lack ya patience na turn kua audacious
Please Riddle me this
Ni our life choices zina tutua si kuishi life precious
Ama according to hawa jesters
Hivi ndio almighty ali intend life ita enda
Hopefully I keep on talking
Nisiwai end up mahali miming kwa mneti
Minds coordinating niki pose hizi swali mi
Can i really serve nikiwa reserved reserve ku self preserve?
To keep sight full of hope daily na recite hizi
Natukae na uhuru amani na undugu
Sijui ka ni kitu sure
Niambie ka ni kitu sure
Natukae na uhuru amani na undugu
Sijui ka ni kitu sure
Niambie ka ni kitu sure
Ofcos ni kitu sure true say vile unaona
struggle huwa haipick sides
Free flowing ka buttocks bila panty
No matter your party we cant afford ku stay divided
Next Time leader uki elect kumbuka shida unapitia
Na hope your noting we need change na new vision mask off
Wanao lead nation wakiamua kuchukua yao ratio
While Wanao unawa feed rations
God speed tufikie u turn
Juu kila new term tunazidi kujam na outcome
Income ina come, dictatin bread iende bila si agi
Na si wezi argue waki dick take ku change their fate
Wakichorea ya saba wapate za supper sa-mbamba
Maisha ishaturamba what a bam bum
Nna machungu vile wachungaji wana chew ganji
With their mouthfuls masses full
Vi masterful wame turn masses food
Wool pulled over eyes
Only wrongs society ya see ni yutes na bangi
Hope soon tuta raise from this deep snooze
I aint hyping just typing it as it happens
Juu ya crisis on my shoulder unaweza cry sis
On my shoulder unaweza cry sis
Naweza sema tu pole sis pole sis
Natukae na uhuru amani na undugu
Sijui ka ni kitu sure
Niambie ka ni kitu sure
Natukae na uhuru amani na undugu
Sijui ka ni kitu sure
Niambie ka ni kitu sure
Yuh
Umenona hizo hips na thighs
Zika kuwacha stigmatized
Saa lazima ukamuliwe mafuta tena ndio ukue scarecrow
Jela si ya chuma na ukuta pekee kuna chuki tama na pia jealousy
Legacy legacy legacy
Lazima tuiache, nadai ma dolla sidai mashillingi
Au nikue chief wanilipe na rupee
Au lazima tuenda country zingine za ki european tujenge misingi
Ka huongee doo na ingia misingi
Ka ni box mi siingii
Si wote tungekua uni nani angekua unique
Naacha contract ya nusu metre nikiact stupid
Fika bay ka refuge, aki swim
Shoot the sherif its a pity wanateta juu ya deputy
Tulikesha kwa hii foundation ndio tudose kwa iyo building
Usiniweke kwa ratili na hawa makatili
Ukitema inaweza bounce irudi na izidi maneno ni acidic
Kwa hivyo next time ukibonga please tafadhali tu kua specific
Am like a poacher always ready to the task
Niko ka moon always dancing at the dusk
Elon Musk na masquarade yake hawatoshi mboga
Juu hii inarotate angle zote
Nika saucer man an alien i guess space ndio ocha