Freedom of Expression Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Tapi, P-Mani records, Ares ka kawa
Freedom ya expression kutoka wale tunge ozea detention
Sahii na collect pension kuroroa kwa session
Hii ni just a potion, ku set things in motion
Ops take a caution, na ye na feel special
Sikuwai dhani ninge pata mention
Juu hawa matapeli ujidai makaveli
Kujitenga nao mi uyo kwa ferry, nikipaisha meli
Umaskini niliumbia kwa heri, after subira alivuta heri
Saa mi uyo kwa teli, maisha soft niko usheli sheli
Na Sherry wa mi after alitoka Machari-a
Juu mashairi ya lipa
Gone are the days kutoka koro kocho
Ili mean utaland koro koroni
Sahii na chapa mboka mdogo niki omoka
Kwa rover na land cruise
Hizi streets nili pass thru ni cut throat, literally
Na wino ka Dan na escape den, figuratively
Niki touch mic na torch mic, 3rd degree
Two more EPs ni top game, automatically
Clout chasing kwa mneti aaiiii uyo si mi
After heist, msupa ali elope na mi si mi
Rolled dice, change cards add spice
Ku reach hizi heights, no coincidence
Nilikua nime set sight just added confidence
No disguise, bare face still no case hawezi ni-trace
Flip a story to a millie pay my billies, turn it over
Boom bap vile na leta thriller impeccable timing
Many regrets but glad I never picked up a toolie
Shout out to a Muli-son ku invite yours truly kwa stu
Studied tha game, lay a blueprint, sahii bila brew
I'm flipping while they sleeping
Facto, hata bila talent
Whoever sents they cant spin me
Pacho koma kuroroa zangu
Mungu ndio judge na a need jury
Koma to KDO, dry spells filled my heart with fury
Can't lie, man never missed meals au lacked fees
Na shukuru wazazi
My struggles were mental
Convinced my existance ilikua accidental
By my own mental
Begging to fit in, gravitating to repellents
Nikidhani watanipenda, bila guidance
Dress code ilikua bummy was not cool like them
No matter what I spend, nikitaka to end it all
Low moods had to climb tall trees macho chinizee
Umri mdogo juu ya mitungi niko deep end
Paranoia but na gwaya kumeet shei-to
Suicidal thoughts, what kinda talk is that
Hii ni Afrika, we dont tolerate weak minds ndio echo za society
Weekend challenge, pump pump fear na dishken ya omen
All dreams ni una elekea hell, saved by the bell
After, alter call iko shuma zaidi ya ganya ya furu
Had to dig deep side step hizi thoughts na wicked deeds
Na hii si debate (D-Bait) let me vent
Ji angalie kiyooni, sioni how really Johni can save you
Jioni hawakuoni, moyoni hauna amani, self medicate
Bado hauponi effects za ukoloni, ngojea mkombozi
Kilicho nguoni ndio ukusosi, checki hizi deposits
Infastructure si always proof ya advancement
Maendeleo kufikia maeneo
Kisha kuchukua resources
Wangapi udai kukatishwa maji kabla nyoka aingie pangoni
Flashback na Kisha wa mi wa Pango tukiwa Tigoni
Utajuaji hii process ukikesha IG changing posses
Akili ni possesed, purely for top chefs wanafikia high shelves
Apple Gabriel tunaneed another Moses
Kuambia uyo fala-o a let my people go
Piga nduru kama unataka more