Apollo Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Ka rap ni cinema
Nani ndio Otero
Tapi
Niko stu usiku mzima
Hapa hakuna kuzima
Labda KPLC wazime stima
My hekima illeta heshima
From walioniita dreamer
Young simba nikisaka za sima
Iyo kamati ikiwa na kamasi ju ya slippers
Mi nilikua maji Simmers
Sahii left side kwa bima ni Kimba
Na all came from kuimba
Cruzing mitaa Pioneer
Kwa Kenwood sauti ni ya Brima
Ule mmoja wa Maovete
Kando msupa anatigisha mawetete
Chini footwork rangi ya chai
Ma timba, na si za ku chai
My skilled verse inaweza wekwa kwa syllabus
Waenze ku converse vile wana adorn hii verse
With me here au need add on
From hawo waku ku-converse
KMT
Noma fam noma fam
Sijui niendelee ama nisendelee
Endelea
Non realer kwa hizi thriller
Tangu tukicheza ball za manilla
Sahii beat killer Cognac sipper
Hardest spitter bado ni P-Tah
Top ya mountain must nta fika
Mistari zidi tiririka hadi Taji shika
Juu mikono hazijawai kua birika
Saa karibiria na uchapisha speaker
Juu sauti ya dai kuskika
Word play tiki taka nikipata chance
Goggle eyed waki Witness
A pro paint with propane
Ni ur highness Basquit in my bucket hat
Never scared, never skia tapi ali ringa
Never scared, never skia tapi aliiga
Vile nime i-master wana queue wakiniita master
Back against the wall but still na stand tall
Walai nothin is breaking me
Mans a different pedigree
Head sober sidai pedi mi
Tried locking me out, hawakujua wana-deal na escapologist
So my advice in advance, ni wa come na ma apologies
Vile na advance, minds off safety
Every hurdle am blazing past
Soon come nipate cheti
As they chit chat
P-Mani tuna bang bang
Tapi be damn nice
KMT
Noma fam noma fam
Sijui niendelee ama nisendelee
Endelea
Hii si chance kua musical ni my calling
God MC Apollo G ka Greek methology
Waki test me, see niki read their eulogies
Tapi niki flick wrist wana rain dance
All I ever need ni one chance
Never pata nikiusika na visanga za usucker
Hii rap soon tuta usurper
Badilisha wasanii to my supper
Salute to Mr Vigeti
Back to my room service ya tapas
Niki tap ass ya diva amejipa tukiwa tu rivers
Ikabidi nika tema handas rangi ya liver
Chap chap ka bolt tuka dandia dinga
Kwa uber nikaanza kumkumba
Vile na dig her ana regret alijarabu ku ringa
Swala nyeti ni ka after mechi nita ring her
Au tu nili spin her atoe rinda
My assurance ni she is simple the best
My e-Tina Turner
After ndirao lazima ni rudi kwa nest
Muhimu hata after kuteka uyo ana mateke kujikinga hata akipinga kinga
If she keeper muhimu how you treat her
Muwe mtu mbili wapili tu ni wa safaa
So see far ijalishi hata ka wengine wanajipa
Wine n dine her kabla muanze kuwasha jiko
Mapenzi ka maji moto utake time but thats fine
Safisha keja udai aone keja ina kombamwiko
Would be so sad akiingia mteja
While uko rotejo ya kutoka kua single
Ha ha
Tapi
P-Mani
Ares Big Beats Ka K
Here for the long run