Si Unaniona Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Si unaniona
Mmmh
Verse1:
How many times do i have to tell you i'm blessed
I'm blessed, i'm blessed
How many times do i have to tell you i'm blessed
I'm blessed, i'm blessed
Shetani amenishindwa,
Mwanadamu, utaniweza wapi
Shetani amenishindwa
Mwanadamu utaniweza wapi
Bridge:-
Majangiri wa furaha
Wapo gizani
Wanakesha kuniwinda
Siwezekani
Mi si mtu wa majivuno
Mi si mtu wa maneno
Nalindwa na Mungu wangu tu
Mi si mtu wa majivuno,
Mi si mtu wa maneno
Nalindwa na Mungu wangu tu
Chorus:
Si unaniona, si unaniona tu
Ninavyoringa
Si unaniona, si unaniona tu
Ninavyo tamba
Si unaniona, si unaniona tu
Ninavyoringa
Si unaniona, si unaniona tu
Ninavyo tamba
Verse2:
Pale pale , pale pale
Tobo langu liko pale, pale pale
Pale pale, pale pale , tobo langu liko pale
Pale pale
Oh pale pale, pale pale
Malengo yangu yako pale, pale pale
Pale pale, pale pale
Malengo yangu yako pale
Pale pale
Malengo yangu yako pale
Pale pale
Bridge:-
Majangiri wa furaha
Wapo vitani
Wanakesha kuniwinda
Siwezekani
Mi si mtu wa majivuno
Mi si mtu wa maneno
Nalindwa na Mungu wangu tu
Mi si mtu wa majivuno,
Mi si mtu wa maneno
Nalindwa na Mungu wangu tu
Chorus:
Si unaniona, si unaniona tu
Ninavyoringa
Si unaniona, si unaniona tu
Ninavyo tamba
Si unaniona, si unaniona tu
Ninavyoringa
Si unaniona, si unaniona tu
Ninavyo tamba