![Unacheka](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/09/5c30c255769f463a9f4494ba80bc2e38H3000W3000_464_464.jpg)
Unacheka Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Mmmmh mmhhh….
Hamnazo mara nacheka nalia
Tungi za misiba kichwani
Tenzi zinapangana
Mi chanzo kweli sijakatalia
Ila ulivyo maliza mama
Umenipa majanga
Ugali wa moto kwa pilipili
Mie sinaga ujasiri
Yangu nafsi kiwiliwili
Vinanizomea
Basi fanya hata kwa siri
Hadharani una dhalili
Yangu nafsi kiwiliwili
Vinanizomea aaah
We unacheka aah aah
Wanavyo nicheka aah
We unacheka aah aah
Wanavyonichekaa
Nishamaliza miujiza
Ya musa na farao
Maliza waganga
Wa bara na pwani
Nazi nimemaliza mixer kuoga
Kwenye umati wa kariakoo
Tiba yangu ni wewe…
Ugali wa moto kwa pilipili
Mie sinaga ujasiri
Yangu nafsi kiwiliwili
Vinanizomea
Basi fanya hata kwa siri
Hadharan una dhalili
Yangu nafsi kiwiliwili
Vinanizomea aah
We unacheka aaah aah
Wanavyonicheka aah
We unacheka aaah aah
Wanavyonicheka
Hulka ya wema
Wema mshumaa
Umenizima mimi
Umewasha taa
Eti wa akiba umeme ukikata
Nina wivu inaniuma sana
Hulka ya wema
Wema mshumaa
Umenizima mimi
Umewasha taa
Eti wa akiba umeme ukikata
Nina wivu inaniuma sana