![Ole wao](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/09/5c30c255769f463a9f4494ba80bc2e38H3000W3000_464_464.jpg)
Ole wao Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Alipuliza ikapoa
Kaipuliza imewaka
Shilingi akaisugua
Ilotupwa kwenye taka
Aliipuliza ikapoa
Kaipuliza imewaka
Shilingi akaisugua
Ilotupwa kwenye taka
Ye ndo udhaifu
Kwenye moyo wangu
Pia ndio power
Sijui ni akili yangu
Haki ya mungu
Nahisi kupagawa
You my finito
Sijamuona bado
Wakunipora
Misumari na nyundo
Nitaweka lindo
Hata kwa bastora
You my finito
Usiniweke kando
Watanichora
Nishafunga lango
Changu ni chako
Zoa zoa
Ole wao ole wao ole wao
Anavyonitiririka
Kama juice ya passion
Kuneng'eneka
Nishawekaga pembeni
Akinishika shika
Hadi rangi nabadilika
You my finito
Sijamuona bado
Wakunipora
Misumari nanyundo
Nitaweka lindo
Hata kwa basrora
You my finito
Usiniweke kando
Watanichora
Nishafunga lango
Changu ni chako
Zoa zoaaa
Ole waoo ole wao ole wao