![Nana](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/09/5c30c255769f463a9f4494ba80bc2e38H3000W3000_464_464.jpg)
Nana Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Inamana penzi ndo lishachina
Linakifu nafsi yako
Kweli ya juz sio ya jana
Umeniweka kushoto
Ule moto ulokokwa zama na zama
(Umeniunguza mi puto)
Mi sifai hata kwa danadana
(Sina utamu mi kisato)
Naaana
Ushanikata morari
Kwenye jua kali
Mi nasikia baridi
Naaaaanah
Ushanikata morari
Kwenye jua kali
Mi nasikia baridi
Ntaiweka wapi sura yangu
Ukiniacha wewe
Ukiniacha wewe
Mi ntalia
Ntaiweka wapi sura yangu ukiniacha wewe
Ukiniacha wewe
Mi ntalia
Ukinitupa mi mbali
Ukiniacha mi solo we
Acha mama nikwambie
Moyo wangu
Si shwari hali tete kiwelewele
Acha mama nikwambie
Ukinitupa mbali
Ukiniacha mi mbali
Acha mamaah nikwambie
Moyo wangu si shwari
Hali tete kiwelewewele
Acha mamah nikwambie
Naaah naaah
Ushanikata morari
Kwenye jua kali
Mi nasikia baridi
Naaah nah
Ushanikata morari
Kwenye jua kali
Mi nasikia baridi
Ntaiweka wapi
Sura yangu
Ukiniacha wewe
Ah ukiniacha wewe
Mi ntalia
Hulka ya wema
Wema mshumaa
Umenizima mimi umewasha taa
Eti wa akiba umeme ukikata
Nina wivu inaniuma sanaa
Hulka ya wema
Wema mshumaa
Umenizima mimi umewashataa
Eti wa akiba umeme ukikataa
Nina wivu inaniuma sanaaa