![Mnikome](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/09/5c30c255769f463a9f4494ba80bc2e38H3000W3000_464_464.jpg)
Mnikome Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Kitakachoniangusha sio homa
Ni dharau na ukimya
Maana mapenzi yako juuuh
Nachotaka kukuona uwe mzima
Wa milele daima
Girl know how I love you
Umeniweka soba
Girl you got me
Trust me you drive me crazy
Ona nakonda nakonda
Nimekua lazy
Upepo ukivumaa
Nakumiss kinoma
Kwa vile tututu
Nakupenda yuyuyu
Tafadhali usije chochora
Ukiwa mbali nitadorora
Utanifanya niwe chokorah
Eeeh eh
Ukinimwaga ukinimimina
Utanifanya niwe chizi naa
Maana moyoni mwangu umejazana
Juu ya mapenzi
Wote mnikome mjue nimepata mwenzangu
Nimeweka komaaah
Wote mnikome mjue nimepata mwenzangu
Nimeweka komaaa
Nimekuficha rohoni
Nimekomelea
Moyoni nimezawadia
Apo mwanzoni
Nilikesha kulia
Kutwa kujichua
Mwenzenuuuu
Kilichoniangusha sio opole
Nilikosa kunyenyeka mwenzenu kunyenyekea
Na kama vita sio pole
Mwenzenu ntamtatetea
Namaliza wino
Natunga tenzi
Kwenye lindo
Ntalinda mapenzi
Kujipoza nafsi yangu ilimradi isiumie tena
Upana na kimo
Unatosha laaaziz
Usinipe pigo
Watacheka washenzi
Mana nakupenda mbaka nakupenda tena
Tafadhali usije chochora
Ukiwa mbali nitadorora
Utanifanya niwe chokorah
Eeeh eh
Ukinimwaga ukinimimina
Utanifanya niwe chizi naa
Maana moyoni mwangu umejazana
Juu ya mapenzi
Wote mnikome mjue nimepata mwenzangu
Nimeweka komaaah
Wote mnikome mjue nimepata mwenzangu
Nimeweka komaaa