![Maridadi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/09/5c30c255769f463a9f4494ba80bc2e38H3000W3000_464_464.jpg)
Maridadi Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Yeiyah yaah
Up to the sky
Baby enter my hearto
Jengakibanda
Tucheze bailando
Baikoko ya kitanga
Usione nishaii
Wewe ndio wangu mama yoyoyo
Aaaah iyah
Basi menya muogo
Nshakula karanga
Si umeumbwa na udongo
Leo ntakufinyanga
Your my number one my mama yoyooh
Aaaaah naah
Yanavyokudondokea
Mashavuni machooozii
Nami sifa zanzidiaa
Nazidisha uchokoooziii
Unavyonidolishiaaa
Naishiwaa mapoooziii
Nami siezi jifichia
Maana penzi kohozi
Basi we nipe shooo…
Kashawika jogoooh…
Natafuta pangooo…
Nimfiche koboko
Na ugonjwa wa kondooo
Mafua yamejaa
Wanasema ugonjwa wa mapenzi
Aah ugonjwa wa mapenzi
Maridadi
Aah shida yangu unanikidhi maamaa
Maridadi
Tena umenidhibiti iiihh
Maridadi
Penzi langu unalikidhii
Maridadi
Maridaaadi
Nimefunzwa nidhamu
Kwa kalamu mkononiii
Za kutoana damu
Kwetu haramu ukoloni
We ndo unaniamsha kokoriko
Sauti yako Matata
Ukinipa uji kwa kijiko
Hadi miguu inanikakamaa
Basi we nipe shoooh
Kashawika jogoooh
Natafuta pangooo…
Nimfiche koboko
Naugonjwa wa kondoo
Mafua yamejaa
Wanasema ugonjwa wa mapenzi
Aah ugonjwa wa mapenzi
Maridadi
Aah shida yangu unanikidhi maamaa
Maridadi
Aaah tena umenidhibiti iiihh
Maridadi
Penzi langu unalikidhii
Maridadi
Maridaaadi
Bhasi we nipe shoooh
(Jogooo)
(Pangoo)
(Kobokoo)
(Shooo)
(Jogooo)
(Pangoooo)
(Kobokoo)