![Utaniua](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/09/5c30c255769f463a9f4494ba80bc2e38H3000W3000_464_464.jpg)
Utaniua Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Up to the sky
Yeyeeiyee
First time when I saw youu
I felt alright
Two timess
Moto chini juu anaangaika paah
Allow me to touch your body
Roho mbaya sio mtaji
Mungu kakunyima kipaji
Uchoyo uchoyo
Moyo wangu ufanye mtaji
Tena ufanye mradi
Mi kwako kichwa maji
Niliyekufa kwa kiu
Aaaaaau yeeeh
Usije nifanya sinema
Moyo utaupa kilema
Taabani nitashindwa kuhema
Kaatu mama
Usije niacha dailema
Akili moyo utanizima
Ukaja enda nisikuone tena
Unanizuzua unanichanganya
Utaniua uwah uwah uwah uwah
Eyi yeii yehi eyii
Utaniua uwah uwah uwah uwah
Eyi yeii yehi eyii
Utaniua uwah uwah uwah uwah
Eyi yeii yehi eyii
Utaniaua uwah uwah uwah uwah
Eyi yeii yehi eyii
Mi kwako fyatu fyatu ntaja nijifie
Maneno katukatu usiyasikie
Vimaneno udaku daku
Mbali vitupie
Mara ukaanza nisonya
Nije nikuchukiee
Mijineno ya kunyaa
Aah unitupiee
Aaaaasu yeehee
Usije nifanya sinema
Moyo utaupa kilema
Taabani nitashindwa kuhema
Kaatu mama
Usije niacha dailema
Akili moyo utanizima
Ukaja enda nisikuone tena
Unanizuzua unanichanganya
Utaniua uwah uwah uwah uwah
Eyi yeii yehi eyii
Utaniua uwah uwah uwah uwah
Eyi yeii yehi eyii
Utaniua uwah uwah uwah uwah
Eyi yeii yehi eyii
Utaniua uwah uwah uwah uwah
Eyi yeii yehi eyii