Nikimuona Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
So shilingi tena
Inozama feli
Hata moyo wangu
Ushazama
Mara nyingi sina
Ujasiri
Ila moyo ndani unahanya
Nimeweka nadhiri
Sitoifanya Siri
Nikimpata hawaa
Nitampa kivuli
Tuishi wawili
Navyompenda mwayaa
Asinione mapepe
Kesho lazima nimfate
Asinipe maseke
Ooohh maseke
Asinione mapepe
Kesho lazima nimfate
Asinipe maseke
Ooohh maseke
Najikaza kazakazaah
Penzi asali nataka anikoleze
Anipumbumbaze ahhh
Aaaaahhhhh
Kama katoto nataka anidekeze
Asinigombeze aaaah
Aaaaaah
Maana nikimuona nkimuona naloa
Nashindwa kunena kunena
Kama naugua
Nabaki nazubaah nazubaah
Kaka kuona
Natena naduwaa
Kwake mi boya
So shilingi tena
Inozama feli
Hata moyo wangu
Ushazama
Mara nyingi sina
Ujasiri
Ila moyo ndani unahanya
Nimeweka nadhiri
Sitoifanya Siri
Nikimpata hawaa
Nitampa kivuli
Tuishi wawili
Navyompenda mwayaa
Asinione mapepe
Kesho lazima nimfate
Asinipe maseke
Ooohh maseke
Asinione mapepe
Kesho lazima nimfate
Asinipe maseke
Ooohh maseke
Najikaza kazakazaah