![Acha Iwe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/09/5c30c255769f463a9f4494ba80bc2e38H3000W3000_464_464.jpg)
Acha Iwe Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Up to the sky
Wou woo wooh
Naaa aaah
Yehi! Yehi! Yehi! Yehi! Yehi!
Hata ntapopema sio pema
Yote kwangu mi sawa
Maana umenishika
Kisawa sawa
(Sawaaaa)
Wanasema kucheka kulia
Yote ni makelele sawa
Navoona we uko sawa
Ooh hana habari
Wala hanitazami
Nayofanya hauoni
Ananitesa haoni
Hanitamani hatufanani
Ananicheka yaani
Ananicheka haoni
Yeii yeeeh
Acha iwe
Ooh na iwe
Unavyotaka na iwe
Acha iwe
Yeii yeeeh!
Na kama vita na iwe
Acha iwe
Ooh na iwe
Unavyotaka na iwe
Acha iwe
Eeh na iwe
Unavyotaka na iwe
Hekiiima
Moyo kuumbwa na nyama
Aah
I wish ungekuaga wa kioo
Ningekuonesha uone
Ooh mi siina
Ni yeye tu lake jina
Ila ananinyoosha nikome
Maana nastaajabu kuwa
Maneno mesikiaa
Siku mi nikijifia
We utafurahia
Hanitamani hatufanani
Ananicheka yaani
Ananicheka haoni
Yeii yeeh
Yehi! Yehi! Yehi! Yehi! Yehi!
Acha iwe
Ooh na iwe
Unavyotaka na iwe
Acha iwe
Ooh na iwe
Na kama vita na iwe
Acha iwe
Maana mi sijioni
Ooh kwako sijioni
Ooh maana mi sijioni
Sijioni sijioni
Ooh mama na iwe
Ooh na iwe
Ooh na iwe
Oooh acha na iwe