![Kamata ft. Judie Masila](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/22/ddcb4cb5031b4937ba80be086292c7f1H3000W3000_464_464.jpg)
Kamata ft. Judie Masila Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Kamata ft. Judie Masila - Rose Muhando
...
Teddy B
wooyoyoo lele lilelilele
kamkamata
wayoyiye lele lelilelelile
kamlegeza
aliposhuka kuzimu
kamkamata Yesu wee
ah kamlegeza
akamshika shetani
kamkamata...Yesu wee..kamlegeza
kamnyang'anya funguo...kamkamata
Yesu wee ..kamlegeza
akamchapa na fimbo..kamkamata
Bwana Yesu ah kamlegeza
akamnyang'anya mamlaka
kamkamata (Yesu wee) kamlegeza
akampokonya uweza... kamkamata
Yesu wee..kamlegeza
sasa mshindi milele...kamkamata
oh Yesu wee...kamlegeza
yeeee lelelelelile (kamkamata)mshindi yule
kamlegeza
woyoyoyo ni Yesu Mwokozi Mwokozi yule
********Lyrics sync by Phellow 254790511905********
********For the Love of Swahili Gospel **********
Verse 2
akiunguruma kwa wachawi, simba
Yesu ni simba
kuzimu na mapepo hawalali, simba
Yesu ni simba
Jina lake Yesu ni tahadhari, simba
Yesu ni simba
ndani yake Yesu mambo yote shwari...simba...shwari
Yesu ni simba
ooooooooh lolololololo...simba....Yesu ni simba
woyo..woyo lelelelile simba.....lelelelilele
Yesu ni simba
aliposhuka kuzimu...kamkamata
Yesu wee. .kamlegeza
akamshika shetani...kamkamata...Yesu wee
ah kamlegeza
kamnyang'anya funguo...kamkamata
Yesu wee...kamlegeza
akamchapa na fimbo....kamkamata
Bwana Yesu wee...kamlegeza
akamnyang'anya mamlaka...kamkamata
Yesu wee...ah kamlegeza
akampokonya uweza...kamkamata
Yesu weee....kamlegeza
sasa mshindi milele...kamkamata
oh Yesu wee...kamlegeza
yeeeeeee lelelelelelele...kamkamata...lelele mshindi yule
kamkamata, kamlegeza
woyoyoyo ni Yesu Mwokozi Mwokozi yulee
********Lyrics sync by Phellow 254790511905********
********For the Love of Swahili Gospel **********
Namtambua Yesu wa Golgotha...simba(eeh!), Yesu ni simba