![Anatenda ft. Evelyne Ira](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/12/7c14aa5432954e18bef88749bf134559H3000W3000_464_464.jpg)
Anatenda ft. Evelyne Ira Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Anatenda ft. Evelyne Ira - Rose Muhando
...
Anatenda ft. Evelyne Ira - Rose Muhando
...
lyric sync by Phellow Aduvaga 254790511905
From nothing to something
yeleleleleleleee oh oh
huyu Mungu mkubwa
Mungu wetu
anatenda Jehova Shammah ah
anatenda kila kona yupo eeeeh
sina shaka
maana ndani yangu ninaye
na silegei maana ananipa kushinda
ananipa tumaini siku za unyonge wangu
na nikipita kwenye bonde la uvuli wa mauti
sitaogopa
gongo lake na fimbo yake vitanifariji
kwani anatenda yupo kila kona aaaah
yeye
anatenda kila kona yupo eeeeh
*********************instruments ************************
nimeuambia moyo wangu
usihuzunike usizimie maana Bwana yuko kazini
tayari kukusaidia
mkono wake si mfupi hata usiweze kuokoa
wala sikio lake si zito lishindwe kusikia
ametuma malaika mbele yangu
tayari kunisaidia
anatenda kwenye magumu anatenda
kwenye shida Yesu anatenda
siogopi anatenda
anatenda
siwezi kushindwa
sifikirii kuchoka
siwezi kushindwa
sifikirii kuchoka
kwenye bonde la mauti atanivusha
anatenda
kwenye shida na mateso yu pamoja nami
anatenda
kwenye bonde la mauti atanivusha
anatenda
kwenye shida na mateso yu pamoja nami
yeye
anatenda
kila kona yupo eh eh
anatenda
Yesu weee
kila kona yupo eh eh
lyric sync by Phellow Aduvaga 254790511905