Bariki Ndoa _Dominion Voices Ministers Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Bariki Ndoa _Dominion Voices Ministers - Best SDA Music
...
ukishapanga hakuna wa kupangua ukibariki hakuna wa kulaani e Mungu bariki ndoa hii
uzao wa tumbo lao
bariki
wa nchi na wanyama wao
bariki
wainiapo watokapo
bariki
mijini hata mashambani
bariki
bariki hata kapu Lao
wafungulie hazina zako zijaze ghala zao mungu
bariki
uuuh uuuh
wape upendo rehema zako
bariki bariki
wape uvumilivu wakutumaini tu
bariki bariki
(afya Hekima toka kwako wamiminie)
wafunulie hazina zako
zijaze ghala zao mungu bariki
umesababisha umenitimza ndoto yao maharusi hawa wanaunganishwa mbele zako
safari yao ya ndoa wameanza leo ombi letu baba uwanehemishe changamoto zipo kwa wingi ila uwanyenyekeze wakutangulize katikati ya ndoa yao
(maana bwana ukishapanga)
ukishapanga
hakuna wa kukupangua
ukibariki hakuna wa kukulaani
e mungu bariki ndoa hii
bariki bariki bariki ndoa bariki
ukishapanga
hakuna wa kukupangua
ukibariki hakuna wa kukulaani
e mungu bariki ndoa hii
bariki bariki
uzao wa tumbo Lao
bariki
wa nchi na wanyama wao
bariki
waingiapo watokapo
bariki
mjini hata mashambani
bariki
bariki hata kapu Lao
wafunulie hazina zako
zijaze ghala zao mungu bariki
uuuh uuuh
wape upend rehema zako
bariki bariki
wape uvumilivu wakutumaini tu
bariki bariki
(Afya hekima wamiminie)
wafungulie hazina zako
zijaze ghala zao mungu bariki
mtimize kama mlivyokusudia
viapo tayari mmevipokea
mbele ya mashahidi
msifanye mzaha
ndao kitu takatifu
wengi wameipitia
maombi ndio nguzo
mwe na subira
mungu mpaji wa yote
atawapa raha
Amani na kuwatunza
Baraka zake zitawa chini ya wamchao yeye
-
uzao wa tumbo Lao
bariki
wa nchi na wanyama wao
bariki
bariki waingiapo
bariki
mjini na mashambani
bariki
(E MUNGU)
wafungulie hazina zako
zijaze ghala zao mungu bariki
uuuh uuuh
wape upendo rehama zako
bariki bariki
wape uvumilivu wakutumaini tu
bariki bariki
(Afya hekima waminie)
wafungulie hazina zako
zijazo ghala zao mungu bariki
uzao wa tumbo Lao
wa nchi na wanyama wao
bariki bariki
waingiapo watokapo
mjini hata mashambani
bariki bariki
bariki hata kapu Lao
wafungulie hazina zako
zijaze ghala zao mungu bariki
uuuh uuuh
bariki bariki
wape upendo rehema zako
wape uvumilivu, wakutumaini tu
bariki bariki
(afya hekima wamiminie)
wafungulie hazina zako
zijaze ghala zao mungu bariki
ukishapanga
hakuna wa kupangua
ukibariki
hakuna wa kulaani
e mungu bariki ndoa hii
Heeeee!
Ukishapanga
ukishapanga
(hakuna)hakuna wa kupangua
(ukibariki)hakuna wa kulaani
(eeeeeei hakuna wa kulaani)
e mungu bariki ndoa hii